Makapuku Forum

Uwiiii mm mmojawapo wa kudharau kifungua kinywa nikinywa ujue naumwa tena tumbo mm ni juice au soda
 
Akibeba mimba ni yake kwahiyo akizaa pia dume haonekani
 
Numbii mpenzi ebu punguza kidogo si unajua cha uvivu mm naonaje ndefu kama mwanzo
 
Ana jinsia mbili
 
Mke wa Rais Donald Trump wa Marekani, Melania Trump ametangaza kuwa atazuru Keny, Ghana, , Malawi na Misri katika ziara ya kwanza kabisa akiwa pekee yake.

Ziara hii itakayoanza juma lijalo itakuwa ya kunadi kampeini yake ya bebest melaniatrump trump usaid

Jamani mbona kwetu hawafiki kwa jirani kumenoga
 
Huzuni na Hasira zimeenea Mogadishu Somalia baada ya mzee Ahmed Muktar Salah kudungwa kisu na kuchomwa moto akiwa hai na watu wanaopinga ndoa ya mpwa wake Abulrahman Mukhtar anatokea jamii ya wabantu na bi Rukia Mohammed.

Ahmed ameacha wake 2 na watoto
12 .

Je kitendo kama hiki cha kibaguzi kwa misingi ya tabaka, kabila na rangi ya ngozi vimekuathiri katika kumtafuta mpenzi?
 
Aisee, nilitakiwa kwenda huko mwezi ujao, lakini nimekataa aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…