Motooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimiiiiiiiiiiiiView attachment 878555
WOZaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaceEbu nitafutie moto unaowaka kwa nguvu unachangamka sana yaani fujo
Nikuletee lini jezii au jpili hatuendii?He he maneno yamekuisha acha nikatekwe mm hali ya hewa ndio kama hivi wouzeeeeeerrnakojoaaaaaaaaa
Jamani ninunulie na ya man u basi lakini nataka jezi za kikeNikuletee lini jezii au jpili hatuendii?
Ingelikuwa ya chelsea sawa ....Jamani ninunulie na ya man u basi lakini nataka jezi za kike
Mm siendi nitaenda kuangalia bar eti azam yangu wameifunga sijailipia mda mrefu nimeambiwa card imeexpire
Uwanjani uko nisije nikafa bure kwa presha tukifungwa acha niangalie bar tu huku nakunywa zangu beer
Ingelikuwa ya chelsea sawa ....
Twende si nitakuwa karibu na wewe ukizimia nakupepea ...
Azamu nenda pale kwao watakusaidia na uachee sasa kuitosaa kisa dstv ...
Ayaa ya man u ntakuchukuliaaa lakin next wiki mkifungwa tena ...Acha ubaguzi bwana ninunulie basi na ya man u
Siwezi kwenda nisije nikadondoka bure
Nimecheka hapo kwenye kuitosa kwahiyo nikienda azam watanitoza hela
Eiiish mpaka tukifungwa tena haya ngoja tusubiriAyaa ya man u ntakuchukuliaaa lakin next wiki mkifungwa tena ...
Wanatoza pesa wajinga wale nimeenda j3 kilikuwa hakiwaki kumbe adapter wananiambia nilipe 20 nikaona hawanijui nilivo bahil uzuri walitest wenyewe na kusema na adapter ...nikazama kwa fund nikampa buku 7 akanipa adapter maisha yanaendelea make ndani kuna timbwili la sultan kisipowaka nanuniwa
Kweli make hata habari hakuna ...labda mpira wa simba ila kweli ntakuletea na ndo kitakachoniletaaEiiish mpaka tukifungwa tena haya ngoja tusubiri
Nimecheka kwenye azam mm bwana hiyo sultan toka ianze sijawahi angalia naiskia tu hao azam kwa sasa acha kiendelee tu kuexpire nitaenda siku yoyote azam kwao sina hata shida nacho
Kweli make hata habari hakuna ...labda mpira wa simba ila kweli ntakuletea na ndo kitakachoniletaa
Hahahahahahaa kumbe siku ile nilibugiiiiiiiUtaniletea na ya simba ninavyokusumbua sasa mpira nitaangalia bar tu hakuna namna jitahidi unitafutie za kike ukikosa ndio utachukua zilizopo za kawaida
Hahahahahahaa kumbe siku ile nilibugiiiiiii
Asante The Book kwa tetesi za soka, na mipango ya kuleta makala za intelligence ifanikiwe mapema. Aunt yangu Shunie long time kwanza, asante kwa Magazeti na je Wajua, siku zote unajua wewe ni mtu mzuri ninayekupenda yaani ingekuwa Numbisa angesema una nyota ya ngekewa, ulimsoma jana?
Mndali ndanyelakakomu ni poa k ukuona hapa tena, ulipotea karibu.
Kuna Jipya? Ukiachana na habari za anko wangu Lyon Lee kutekwa na hausigeli?
HaahahahahahNaona unazinyatia pesa zangu
Kumbuka mimi ni HIV+
Jana tulikuwa na makala ya wanyama, ilikuwa poa sana, farasi kumbe wanabebishana, kiboko anatoa maziwa ya pink etc.