Pouwa pouwa...
Ngoja nianze kukremisha jina la kutumia siku hiyo...kabla sijatuma hela..[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ! Usiniulize kwanini nacheka nikifikiria hiyo sikuHiko ndio cha maana hata ukitaja jina lako halisi atakujua nani kikubwa usitaje I'd ya jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ! Usiniulize kwanini nacheka nikifikiria hiyo siku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwambie Obe akufundishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Aisew!kuna haja ya kutoa id kwani?
Afu naona mambo ya kuvaa vikaptula[emoji3][emoji3][emoji3].
Hapo patanishinda mimi! I am a learned gentleman...! Kaptula hapana..
Mambo ni moootooo[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Hello hellooooo
Mambo ni vipi humu ndani
Lip mke mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kitu jana kuhusu swala la kunyoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui mm piga hesabu kwani tunapangiana kuingia jf
Lip mke mweee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imeuliza maswali mengi sana!Hahhaah unacheka nn
Halafu una kesi na mm ujue
Juzi kati dada ananiambia nilisahau kukwambia kuna siku nachat na T akasema nikusalimie nataka jina lako halisi hivi kakujuaje eti T umenijuaje mm jamani
Imeuliza maswali mengi sana!
Unataka kujua jina langu halisi? Ama dada anauliza nilijuaje jina lako halisi?
Which is which?
Shunie..!Mm na dada alivyoniambia hivyo nikasema nitakuuliza umejuaje jina langu halisi na hapo kaniambia ni mwaka jana tu kabla haujatuma juzi kati tigo pesa
Nko poa kabisaMiss you sister...
How hav' you been?
[emoji133] [emoji133]Nakuona !
UsharudiPole
Shunie..!
Hebu tuyaaache bhana!
Ujue mimi nakuambia siku hiyo na kinondoni nitacheka ! Wewe bado huelewi [emoji41][emoji41].
Naona kabisa nyoka waking'atana vichwa.
Usharudi