Kama bro bado mbahili basi jua kuwa hujamfikisha anapotaka afike. We endelea na safari tu wala usikate tamaa. Ukimfikisha unakotaka kumpeleka mwenyewe utaleta mrejesho hapa. Hakuna mwanaume mkarimu, mpole, anayejua kujali na mwenye ubinadamu kama Msukuma !!!