Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Sinalolote unalotumia.
Sinalolote unalotumia.
Hahahahahaha!Hili neno hilii!!..
Hebu tufafanulie hapoHahahahahahaha!
Unaenda out au kulala ???KUTOKA 14
14.BWANA ATAWAPIGANIA NINYI NANYI MTANYAMAZA KIMYA
ASANTE BABA KWA KUTUPIGANIA
USIKU MWEMA WANA FAMILIA..MALAIKA WALINZI WAWEKE VITUO KILA TULIPO DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE ..![]()
Siri za kambii hizooo!Hebu tufafanulie hapo
HayaSiri za kambii hizooo!
Siri za kambii hizooo!
Usiku hawatajwi kabisaukikitaja kitu kinatokea!??..![]()
nikienda au rudi sehem sitoi taarifa!..Najua ulichowaza 😀!






Bichwa lako
Na mm anko nimezungumzia ukiwa na mahela yakoMimi mpaka nitoke mnadani ndiyo nakuwa na mbwembwe.
Hivihivi sina hela ya kuhonga mpwaa!
Halafu ukijua ugundue nn etiNijue tuu
Hapa tunavyozungumza anko nipo kwa bed na taa nimezimaUnaenda out au kulala ???
J3 naenda tena, nitafute J4Na mm anko nimezungumzia ukiwa na mahela yako
Wewe lalaa bwanaa!Hapa tunavyozungumza anko nipo kwa bed na taa nimezima
Ukinikamatia ntakupa zawadi nono...View attachment 866476Huyo hapo mtu uliyekuwa ukimtafuta
J3 naenda tena, nitafute J4
JF-GET TOGETHER PARTY DECEMBER 2018 - JamiiForums Bebe kuna jf party ukonikienda au rudi sehem sitoi taarifa!..Najua ulichowaza 😀!
Anko jamani mbona unanifukuza sasa jamaniWewe lalaa bwanaa!
aahh!.. hawana effect haoUsiku hawatajwi kabisa