Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishamkatia Bima endelea nae tu mama!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishamkatia Bima endelea nae tu mama!..
Kojooooo timeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikujibu hapa kweli babe mm siendi bwana basi tukwanini!?..
Weka picha!Kweli anko
Kukojoa badae sanaaKojooooo timeee
Sasa tutaaminije ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko ugundue nn umekuwa Wick anayetaka picha kila mda
Anko we amini tu ninayokwambia nipo gizani[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa tutaaminije ??
Nishaelewa!..Nikujibu hapa kweli babe mm siendi bwana basi tu
UNATATIZO LA KUSAHAU SANA? TUMIA NJIA HIZI KUMI KUBORESHA KUMBUKUMBU YAKO!
1. Jifunze kufanya kazi moja kwa wakati mmoja. Kama unajifunza kitu basi jifunze kitu kimoja kwa wakati/siku moja. Hii itaepusha kuchanganya mambo utakapokuwa unakumbuka
2.Tafuna Bazoka (chewing gum) unapofanya kazi inayohitaji kumbukumbu kubwa au unaposoma kitu kipya. Kwa mujibu wa wataalamu wa mambo ya saikolojia, utafunaji wa bazoka hufanya misuli ya kichwa kuwa “active” .
3. Fanya mazoezi ya viungo kama kukimbia, pushup, kuendesha baiskeli nk!
4.Kunja ngumi unapojifunza au kukumbuka jambo! Hii inaweza kukuchekesha na ikawa rahisi sana lakini utafiti unaonesha kuwa, watu wanaokunja mmoja wa mikono yao wanapojifunza/kusoma, huwa na kumbukumbu zaidi ya wasiokunja ngumi.
5.Punguza kiasi cha kunywa pombe kwani unywaji wa pombe kupita kwaida, huathiri pia seli za kichwa na kuathiri uwezo wako wako wa kukumbuka mambo na kuwa makini. Unaweza kutumia red wine unapohitaji kilevi kidogo.
6. Cheza game za kutumia akili kama “draft”, puzzle, na mengineyo.
7. Lala masaa ya kutosha. Binadamu anatakiwa kulala masaa 7 mpaka 9 kila siku. Kulala usingizi wa kutosha huufanya ubongo wako kupata muda wa kutosha wa kupumzika na kuongeza uwezo wako wa kukumbuka mambo.
8. Epuka kuwa na msongo wa mawazo kwani huharibu baadhi ya seli za ubongo na kuathiri uwezo wa kumbukumbu zako.
9.Kula chakula chenye madini ya chuma kwa wingi hasa matunda na mbogamboga!
10. Kujipa muda wa kukaa peke yako na kutafakari (Meditation). Kaa peke yako eneo lenye uoto wa asili kama bustanini, mtoni, au ufukweni na kujipa muda wa kutafakari. Hili ni moja ya mazoezi bora zaidi kwa ajili ya afya ya akili yako.
Au unataka niende tatizo nikilewa mm mwaribifuNishaelewa!..
ushahidi muhimu ujue bee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko ugundue nn umekuwa Wick anayetaka picha kila mda
Yaan binamu ww no ya simu tu ya abj...mara ya mwisho kulala masaa 7 sikumbuki. Mimi ni mtu wa masaa 4-5 yakijumuisha na lile zoezi la walala uchi.
hapo kwenye game sasa, ninacheza sana Candy crush, kama ABJ anapenda anitumie namba ya simu nimuinvite
Makala nzuri asante
Ushahidi ni kwako tu baby daddyushahidi muhimu ujue bee.
Hivi siku hizi huweki music
Mimi mpaka nitoke mnadani ndiyo nakuwa na mbwembwe.
Hivihivi sina hela ya kuhonga mpwaa!
Hivi siku hizi huweki music
Kila siku binamu simu mpya...nimenunua simu mpya inasumbua kuattach video. Ngoja tu niizoee
Utaaibika katumie bavaria tu..Au unataka niende tatizo nikilewa mm mwaribifu