Makapuku Forum

Baasi kwenye uzi wetu kule kuna kipindi wanajaa,mpaka nshazoea hizo picha
 
Pale sio kabisa. Total yummy[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pale kati patamu [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji91][emoji91][emoji91]
Mbele ya urembo na kwenda na wakati utaweza tu,just imagine umepanda hadhi ghafla upo na mashosti nyota tano,kwao kula ka sahan ka ndizi mbivu,hotelin kwa bei ya million moja si kitu lazima ujikaze uende nao sawa.
Uwiiiiii jamani jamani mm ni muoga naanzaje kuwekewa mwilini woiiiii nahisi kabla sijawekewa nimeshajikojolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…