Makapuku Forum

Hapo kila mtu anapapenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimependa utafiti wa kwanza
Duh una moyo mie nawapitia mbali nabaki kuangalia mwendo tu anaonesa nesa

Kuna watu wenye pesa zao wanamtumia kulainisha ngozi wa mwili uson hadi miguun,pesa yako tu unawekewa akutembelee mwili mzima,ukitoka hapo ngozi nyororooo utasahau jambo kubwa jaombo dogo na jambo katikati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwiiiiii jamani jamani mm ni muoga naanzaje kuwekewa mwilini woiiiii nahisi kabla sijawekewa nimeshajikojolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…