Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nmekutext umeaminiKwa leo inatosha jamani niendelee tena kwahiyo ww mdogo mkubwa aliyenitumia tigo pesa nani mana angekuwa mdogo angenitafuta kiufupi mm sikuelewi
Nmekutext umeaminiKwa leo inatosha jamani niendelee tena kwahiyo ww mdogo mkubwa aliyenitumia tigo pesa nani mana angekuwa mdogo angenitafuta kiufupi mm sikuelewi
Nmekutext umeamini
Hahahahahaha mm mdogo kabisaaa....muamala nilituma mm
Hahahahaha sorry lakinHahahha hapa sawa sasa nimeamini ni wewe mdogo nilikuwa najionea mashkolo mageni tu
Hahahahaha sorry lakin
Mm muislam we una utani na mm na maombi ninayoyaweka muislam gani anafanya hivyo kweli akutukanye hakuchagulii tusi ubarikiwe mama

View attachment 866340waaow ka baby ka nani?
Babu kanidanganyaa auView attachment 866340waaow ka baby ka nani?
Habar gani hizoNumbisa nina ombi ukipata mda na sisi ebu tuwekee na huku habari zako unazopost jamani ujue unatupa kazi kuja kusoma huko siku moja moja
Habari za kuelimisha kilimo, mifugo, afya, elimu yaan habari nzuri tu za kuelimishaHabar gani hizo
mbalizi1 umesombwa na mafuriko gani lakini
Hili neno ndg ynguNumbisa nina ombi ukipata mda na sisi ebu tuwekee na huku habari zako unazopost jamani ujue unatupa kazi kuja kusoma huko siku moja moja
MwenyeweMfyuuuuuuuu zako
Akirudi na mm anirushie mpesaYaani mm zaidi haswa nimemmiss kwenye tigo pesa tu mahela anayonirushiaga
kumbe unafaidi pekeako