Makapuku Forum

ohooo nshaanza kuziona dalili za mtu kuzidiwa kete hapa anko nnavopenda kusafiri wee acha hapo utakuwa umefaulu kabisa


...basi umenipata, tutaenda ubungo kuangalia mabasi yanayosafi, tunatoka hapo tunaenda eapoti kuangalia ndege zikisafirisha abiria na kisha tutasafiri hadi bandari kuangalia boti za Azam zikienda Znz. Nadhani umefurahia sana hizi safari tumeona mabasi, ndege na boti. Kitu gani hatujaona!? Oh, tutapita buguruni kuangalia wasafiri wa miguu
 
 
Kwema wadau ?

Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu - JamiiForums

Huyu dada ni miongoni mwa wadau wa huu uzi wa mwanzo mwabzo
Kwa bahati mbaya kapatwa na masahibu ya kiafya kiasi cha kuanzisha uzi kuomba msaada....inasikitisha

Wakuu km kuna mtu anaweza kumsaisia amsaidie jamani matatizo hayana mwenyewe maishani huwa yanahamahama tu

Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…