hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,597
- 73,969
asante chief " baraqa zidumu kwakoGood morning bandugu, muwe na siku njema.
asante chief " baraqa zidumu kwakoGood morning bandugu, muwe na siku njema.
Huonii aibu kutembea na binti wakohabari ".. Yako " kimoja chali
Na kwako pia chief.asante chief " baraqa zidumu kwako
Hahah!!aisee umenishinda ila hao maduu wakija nawaombea tuHe he ni ghetto langu linalowazingua maduu dingimtoto najiimbia tu mm
hahaa " aibu ya nini sasa " wakati nazingatia kanuni ya mkulimaHuonii aibu kutembea na binti wako
Shamba lako unalima mwenyewehahaa " aibu ya nini sasa " wakati nazingatia kanuni ya mkulima
ewaaa " nakuvuna nalivuna mwenyewe".. unataka niwaachie nyie wahuni " mnisaidie kuvuna mazao " wakati hata gharama za pembejeo hamzijui "...?Shamba lako unalima mwenyewe
Sawasawaaaaewaaa " nakuvuna nalivuna mwenyewe".. unataka niwaachie nyie wahuni " mnisaidie kuvuna mazao " wakati hata gharama za pembejeo hamzijui "...?
naaam ... unapswa kuiga mfano huu ...haha haSawasawaaaa
Asanteee na kwako piaaGood morning bandugu, muwe na siku njema.
Jamaani hadi rahaNa Wasukuma tukipenda tunapenda kweli. Ushamba wetu unatusaidiaga![]()
Ushawahi pendwa na Msukuma? Au una Msukuma?Jamaani hadi raha
♂️
♂️
♂️Utafiti wao naupingaaaa mm nafanya mara chache tu
hata mm sikubaliani naoUshawahi pendwa na Msukuma? Au una Msukuma?♂️
♂️
♂️


sijawahi
Nilikwambiaa anko binamu hapendiii tuwe wote ila kafanikishakwahiyo anko binamu ndo kaharibu
Nilikwambiaa anko binamu hapendiii tuwe wote ila kafanikisha



ngoja aje tumsikie anasemaje