Makapuku Forum

Makapuku Forum

Na mm tena hunitak?
Asantee ila na wewe sikutaki labda ujipange upya
mke wangu " na wewe punguza masihara bwana " unamasihara mnoo ujue "... halafu umeniangusha mnoo yaani mimi wakunichanganya " na lijamaa lenye kitambi kama mcheza sumo " .? kweli ""??!!
hapa ndio napokupendea " my luv wajua kudeka mixer utani kiasi".....daaahh Mungu anipe nini tena" zaidi ya wewe zawadi yangu
....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa taarifa yenu mmekosa wote mnadanganya umma nimevaa[emoji117][emoji160][emoji160]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
 
mimi aliniambia kuwa ana mzee " sasa sijui ndio wewe " tena akasema kuwa unakisukari na unatatizo la ukosefu wa nguvu za kiume "... sasa nilikuja mbio mbio kukuuliza ..lile tatizo lako la kimoja tu chali vipi " umeshapona au bado ".. kama vipi nikupatie dawa " naumia napo ona mume mwenza unateseka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom