Makapuku Forum

Yaani weweeee. Siyo kwa lijimoto hili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua wajua kama hujui wacha nikujuze
Ng'ombe ni mnyama anaefugwa na binadamu tangu Karne ya 9 kabla ya kristo
Asili ya mnyama huyu ni huko mashariki ya kati
 
Kuku
Huyu ni ndege alieanza kufugwa na binadamu miaka 8,000 iliyopita na kutokana na kufugwa basi amekuwa ni ndege aliyezaana kwa wingi duniani kuliko ndege wengine
Inakadiriwa wapo kuku bilioni 30 duniani kote
Isingekuwa kuchinjwa na binadamu basi uwezo wake wa kuishi ni miaka 5-11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…