MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Bwahahahahaha,...unaweza kupleji 50k umekaa kiti cha mbele, wa nyuma kabisa anatoa boksi zima 1m, wanakamati wanakuhamisha kutoka kiti cha mbele hadi cha nyuma karibu na mlango
Hahahahahaha,
Mkuu Obe habari zako ndugu yangu
Me raha ya kamati naona wakati wa kuvunja tu!..😀Hahahahahahaha,
Jamaa kanisweka kwenye kamati kisa mimi rafiki wa chuo.
Mimi nkapata bichwaa kumbe ananichimbia kaburi, shubamiiit.
Nipo kabisa ndugu yangu,...khabari zangu nzuri sana mdau, sijui wewe. hatujaonana muda humu
Wikend ya muziki, kulalana kula upande wangu
Baaada ya harusi niliapa sintorudi tena.Me raha ya kamati naona wakati wa kuvunja tu!..😀
Hahahahaha,
Harusi za Wahaya siji rudia tena khaaa!
Wanaweza kukufanya uone dunia imekutupa mkono.
...unaweza kupleji 50k umekaa kiti cha mbele, wa nyuma kabisa anatoa boksi zima 1m, wanakamati wanakuhamisha kutoka kiti cha mbele hadi cha nyuma karibu na mlango
Bwahahahahaha,
Nashukuru sana kile kikombe kilinieupuka.
acha tu, na ukute umejibana hapo kamotokaa nje mshale unajizuia na kijiti kudondoka wese dogo!😀..Yeye alitaka kupledge elf 50 yake
Acha nizidi kukupenda mmYani nigharamike kuja mfungulia file mtu, hata siku moja!..
Kila mtu apambane kivyake kupata bana!.. wote si tuna sauti na vingine vile sawa!..
Asanteee binamu...tupo kwa ajili ya kula na kunywa, hilo ndo la msingi, shida ni jambo la kibinafsi sana
Hii kamati kukutenga haichelewi tatizo!!..Hata kwa mm babe wako
Hahahaha,...acha tu, na ukute umejibana hapo kamotokaa nje mshale unajizuia na kijiti kudondoka wese dogo!😀..
Shape ya kabatiShape si ipo mama!.. me ukivaa suruali hata siioni uzuri!.
Kula na kunywaMe raha ya kamati naona wakati wa kuvunja tu!..😀
huyu ni kwako tu kumuona!.. ana aibu sana!.Hahahahahahaha,
Wewe linjemba unaweza hata ukammeza ili nisimwone!
acha tu, na ukute umejibana hapo kamotokaa nje mshale unajizuia na kijiti kudondoka wese dogo!😀..
ile maarufu kwa uber mama 🙂..Stand ipi hiyo
Hahahahaha,huyu ni kwako tu kumuona!.. ana aibu sana!.
Sasa wewe ukikutana na wazee kama sisi si unaweza kuzimia kabisa ??
kuna server yao moja sijaiona leo active!... utaiona tu ikiwa online!..Wako na grupu zao humu ???