Makapuku Forum

Muziki: Furahiday, Come Over

Unaenda kwa kwa aunt yangu Shunie ambaye amekuwa na wakati mzuri mchana wa leo na nimefurahia post alizoweka za Je Wajua. Ila sasa mida ya jioni anko wangu Lyon Lee akiwa keshapiga tatu nne gia ya kupasua milima anataka kumkasirisha kwa story za kukojoleana.

Asante ABJ chombo kipya cha anko wangu, Tumosa nimekukumbuka binamu endelea kukazana sana wikend hii, mtu chake kula monde mzee mzima. makaveli10 soka la ufukweni kesho nitapita mitaa yenu na chama langu la jogging vijana wa uwanja wa Shababi.

Come over wadau wote wa ukweli wa jukwaa hili, Transcend , Da'Vinci na wewe unayenisoma sasa

 
Hapana wengine wanakulanaga na shemeji zao ila kwangu hapana hata nizidiwe vipi bora ninawe na maji ya moto kuliko kukulwa na shemeji yangu yoyote


...basi mpika vitumbua mmoja alikuwa anayachukua haya maji unayosema anapikia vitumbua, alimroga mjomba wangu aisee
 
Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
moto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
makapuku haizimiiiiiiiiiiiiiiiii


Nasemajeeeeeeeeeeeee hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Haha cha zamani ndo kipi hicho ankoo
 
Asante sana Binamu yangu
nakupenda tu mm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…