Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ungenitumia kwanza jamani kuja ningekuja siku nyingine unitembeze beach uko
Ningkutumia vipi shunie akee wakat hata namba hukutuma!!

Hivi ulitegemea mie ndio nikufate pm nikuombe namba kweli shunie akee ili nikutumie mapound!! Hata km ndio limbwata ila si kiasi hiki[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilitegemea ungenifata ndio shunie tuma hiyo no basi
Ningkutumia vipi shunie akee wakat hata namba hukutuma!!

Hivi ulitegemea mie ndio nikufate pm nikuombe namba kweli shunie akee ili nikutumie mapound!! Hata km ndio limbwata ila si kiasi hiki[emoji23] [emoji23]
 
Jamani nimekumbuka nilivyoweka meter no badae ukakubali kununulika nikasema usinunue tena hivi
Hivi unakumbuka kuna siku ulikuwa na shida ya umeme usiku, nikakubali kununua ukaweka meter namba hapa na mie nikaweka umeme hapa, wala hukuja pm, sasa iweje mie nikufate pm wajameni[emoji23]
 
Back
Top Bottom