Ndomana Divices zao zinauzwa bei juu sana aisee!Wafanyakazi kwenye kiwanda cha foxconn ambacho kinatengeneza bidhaa za Apple nchini China, mazingira wanayofanyia kazi ni magumu kiasi cha kwamba wanalazimishwa wasije wakachukua hatua za kujiua kutokana na kuathirika kiakili na ugumu wa kazi kwenye viwanda hivyo, mpaka sasa watu 11 wamejiua kutokana na hali mbaya kwe ye viwanda hivyo.
Kwa kawaida mishahara yao ni dola 600 - 800 kwa mwezi ila mazingira ya kutengeneza hizo iphone, ipad, na i zingine si rafiki kwa binadamu.
View attachment 859230
Dadek..rudiger alikata amtoe shingo pavard..shunie hawa wote unawajua??Angalia namna ambavyo Pavard alivyokanyagwa kwenye shingo na Rudiger.
View attachment 859676
Kumbe nawe umewamis sijui wapo bize na niniNa mm nimewamiss
Walinipiga sana,,,, Walinidunda, lakini siogopi! Nitarudi Uganda View attachment 859678
Ndomana Divices zao zinauzwa bei juu sana aisee!
Dadek..rudiger alikata amtoe shingo pavard..shunie hawa wote unawajua??



Nimecheka Darmian na swali lako kwa nn nisiwajue sasa
Kumbe nawe umewamis sijui wapo bize na nini
Hahaha hiyo caption bila shaka ni ya jamaa anayetukazia mimacho.
Mwelezee embu kidogo rudiger..Nimecheka Darmian na swali lako kwa nn nisiwajue sasa
Mtu mbayaAngalia namna ambavyo Pavard alivyokanyagwa kwenye shingo na Rudiger.
View attachment 859676
Jamaa jasiriii ....Walinipiga sana,,,, Walinidunda, lakini siogopi! Nitarudi Uganda View attachment 859678
Aisee!Ndio mwenye caption yake
Mwelezee embu kidogo rudiger..