Makapuku Forum

Makapuku Forum

...umekuja kulinda na bukta, kweli au unataka kufanya jogging?Hutuoni mimi, AlfaPii na makaveli10 tumepiga kombati na virungu
Hana lolote mkuu anataka kuzingwa tu huyu. Lindo gani na kibukta cha man united na baridi hili..

Alfapii jikaze kidogo usiku uwe mchache kwako. Mie tena hapa ni hatua mosi, hatua pili kwenda kuegesha ubavu wangu
 
ha hahhahaha, kibukta cha polyester na upepo wa usiku tukianza kukimbiza mwizi si kitapea
 
Back
Top Bottom