Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
...katika siku nimesikitishwa ni leo, kina Tumosa hawajakuambia kuwa wikend huwa sipokei shikamoo kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu?
Niko maeneo ambayo shikamoo Ijumaa kwetu mwiko maana ni mwendo wa hi na hawayu tu. kama ukitaka kunisalimia kwa heshima unanisogelea unanihug kiarabu then unanong'ona shkamoo anko. hapo nami bila hiyana nakuagizia kinywaji unachopenda kwa hela yako