Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ww ndo umewaletea masofa walimu

....eeeh, kumbe na wewe unalijua hili. kawaletea na viti vya kuzunguka kama wafanyakazi wa huduma kwa wateja
giphy.gif
 
...uongo dhambi, niko sawa sana na asante kuniuliza khali. Wanaonizunguka kila mmoja na matatizo yake lakini wote tukiangaliana tunatabasamu na maisha yanaendelea
Ukitaka kuujua umuhimu wa matako, jaribu kalia kichwa.. Ni aheri kila hilo taasamu la matatizo kuliko kilio cha matatizo.
 
Back
Top Bottom