Makapuku Forum

Makapuku Forum

Za leo wadau wa nguvu.

Hivi kuna mtu anakereka nikisema asante sana AlfaPii kwa magazeti ya leo, usione nimechelewa kuyasoma, furahiday huwa napenda kusoma magazeti kiutulivu huku nagonga lite baridi, tuna tofautiana.
asante kwako aunt yangu Shunie kwa je wajua, ujue nini, sio kunusa kalio tu, niliwahi kuwa na mjasiriamwili mmoja alikuwa na makalio yamekaa vizuri akitaka kujam-pa natega sikio ushuzi unitekenye. anyway mambo mengine ni binafsi sana.

dumejeuri nimekuona kwa mbali mdau, karibu tena, Tumosa kama kawaida asante kwa kunitakia Furahiday njema. ABJ shangazi yangu wewe mdogo hujambo.

mtu chake kula bia mwanangu maisha mafupi sana na kumbuka watu wema wanakufa vijana so kula bia usizeeke mapema.

kama hakuna jipya basi nipo nalinda jukwaa
 
Leo zamu yako binamu kulinda jukwaa msaidiane na AlfaPii
 
Dj Obe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijambo shkamoo ankoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom