Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Nilijua tuu.

Mwambie nammiss zaidi eti..[emoji7]
Woooyooooooooooooooooooooooo mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] mwendo wa kukulana tu
 
Woooyooooooooooooooooooooooo mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] mwendo wa kukulana tu
Pole poleeeee basi...

Unafukuza upako wako ujue..[emoji23][emoji23]
 
Usijali Shunie

Ila unapaswa uwe na jitihada sasa, pale ambapo panahitaji nguvu na jitihada za kibinadamu lazima ufanye hivyo.

Mungu huwa anayoosha mkono pale penye jitihada na nia ya dhati.

Do not let any stone unturned..
T ninafanya jitihada sana yaan sana mm mtu wa maombi nimeamua kufunga siku 7 Mungu anifanyie wepesi namwamini Mungu wangu sana hallelujah
 
Back
Top Bottom