Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sio hilo mkuu.

Just one simple qn.

Kuna mtu amepanga kufanya kitu cha kimaendeleo kwa mwaka huu 2018 ...

Alafu hadi sasa hivi haoni dalili za kufanikiwa kufanyika kwa kile kitu?

Ijumaa ni august 30 kama sikosei...baada ya ijumaa zitakuwa zimebaki siku si chini ya 120.

Nini plan zako? Mwaka unakata hivyo?
Na vyuma vilivokaza sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom