Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Sasa inategemea wewe unafanya nini?Zangu zinafeli labda nikiigilizia naweza toboa![]()
![]()
![]()
Kama unakesha jf kutafuta likes nikusindikize kwenye uzi pendwa hahahaaa( jokes).


Sasa inategemea wewe unafanya nini?Zangu zinafeli labda nikiigilizia naweza toboa![]()
![]()
![]()


Pouwa za wwHapa vipi.....
Usiku bado mbichiiiiHabari za usiku....
Mwenye nyumba yakoNdio nan mkuu![]()
![]()
Haya...
Mimi ni mfugaji...! Nafanya biashara ya kuuza nyama. Sasa nimetageti kipindi kama hiki from sept-Dec kaskakzini watu wanakula mbuzi kupita maelezo..nimeuza kidogo lakini sijafikia target yangu.
Plan B yangu sasa;
So sasa hivi naongeza mbuzi ambao wameshakuwa tayari kutoka kwa wafugaji ambao hawafanyi biashara.!
Nawatunza kwa mienzi si kama mitatu tuu ama miwili afu nawala bei.. Hela nayotegemea kupiga kwa miezi 3 itakuwa mara mbili ya niliyotengeza from jan-July..
Plan B zingine zinatokota pembeni huko..![]()
hope wapo wengine wanaofanya biashara kama yko huoni haya maarifa yanaweza wafaaYatawafaa ni wao tuu...kuchukua ama kuacha.![]()
![]()
hope wapo wengine wanaofanya biashara kama yko huoni haya maarifa yanaweza wafaa
Vp waendeleaje shemelaYatawafaa ni wao tuu...kuchukua ama kuacha.
Kaaah! Hivi kama akiondoka ghafllaa( Mungu endelea kumuweka shululu) .
Naendelea pouwa mimi ..Vp waendeleaje shemela
ShindwaaKaaah! Hivi kama akiondoka ghafllaa( Mungu endelea kumuweka shululu) .
Pole na hongera hakikisha akina wawili wanakulaNaendelea pouwa mimi ..
Napambana na ghali yangu tuu.
Najua shemelaGet back to reality..
Sijamaanisha hivyo..
We tumosa weweOooh huyo atazipata salamu zako kama zilivo![]()
![]()
![]()
Asantee..! Hongera na wewe kwa kuhakikisha kina kina wawili washibaa...na kufurahi.Pole na hongera hakikisha akina wawili wanakula
Pambana bhana..Najua shemela