Muziki: Muda Mwingi Mwingine
...ndiyo, tuna muda mwingi sana wa kufanya mambo mazuri kwa ujenzi wa maendeleo yetu na ya taifa kwa ujumla. pamoja na huu muda mwingi tunaoutumia bado kuna mwingine tunapaswa kuuheshimu wa kukaa pamoja na kusalimiana kama ninavyofanya mimi sasa hivi kukusalimia wewe kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. asante sana
The Class kwa dondoo za michezo na picha nzuri za kuburdisha, kuhusu vitisho vya anko wangu
Lyon Lee mzee nyumba nyingi usijali sana endelea na mipango yako ya kimwili kisirisiri ila usimkasirishe maana mimi na yeye ni ndugu wa damu.
Pamoja sana
Transcend kwa kuleta mada iliyopima imani ya
Tumosa kufikia mahali akauliza ngono ni nini bila kujua kuwa kuna mto Ngono huko mkoa wa ziwa Magharibi ambako
mtu chake mzee wa ugimbi anaweza kunywa hadi akasahau kuwa humu MF kuna
ningendako angependa kuendako kupaona kama
Slim5 alivyoenda Chalinze akasahau kuleta korosho alizomuahidi
Shunie ambaye wiki hii moto hauzimi umezimwa, usicheze na kufungiwa kwa bando la chuo.
Muziki sasa, muda mwingine vitisho vya anko wangu kwa
ABJ vitaleta umwagaji wa damu maana moyo wa anko wangu hata haueleweki umekaa wapi, yaani ni kama mfalme mswati na wivu. Anyway, nisikuchoshe wewe kapuku na ninawakumbuka tu wadau wa ukweli hapa
SHIMBA YA BUYENZE ,
Bitoz ,
husna muba mpenzi wangu wa ukweli,
BlessedHope niseme nini msichokijua kuhusu huyu mama yenu! Haya bhana, mtaasisi
Nyagei ,
moudgulf....