The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,150
Asantee....Winga wa Everton Theo Walcott, ambaye hajachezeshwa timu ya taifa ya England kwa miaka miwili anasema bado hajapoteza matumani kwamba anaweza kuchezeshwa. (Independent)
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa bakayoko utozii mwingiMeneja wa AC Milan Gennaro Gattuso amesema kiungo wa kati Mfaransa Tiemoue Bakayoko - aliye nao kwa mkopo kutoka Chelsea - ni lazima ajifunze "mambo kadha ya msingi" baada ya klabu hiyo kushindwa 3-2 Napoli. (Eurosport)
Sent using Jamii Forums mobile app
Na upenda mpira cz ,umenipeleka nchi nyingi sana ,umenikutanisha na watu wengi sana ,ktk umri mdg tuParis St-Germain wako tayari kuipa Tottenham ofa ya pauni milioni 100 kwa kiungo wa kati wa Denmark mwenye miaka 26 Christian Eriksen. (Sunday Express)
Sent using Jamii Forums mobile app
Linapokuja suala la soka /mpira dah ,huwa sina la kuongea maana nikikumbuka naumia sana ,soka raha Sana ukilijua kulicheza ,vijana siku hz mna bet tu