The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,150
Na wewe piaMakapuku wenzangu nawatakia asubuhi njema! Naamini mmeamka Salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe piaMakapuku wenzangu nawatakia asubuhi njema! Naamini mmeamka Salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama vipi wewe
Asante binamu,msalimie boss wako mwenye kisiraniTuwe na Numatatu njema na wiki yenye mafanikio katika kila tunachofanya.

Hatujambo mkuu waendeleaje afya yakoMakapuku wenzangu nawatakia asubuhi njema! Naamini mmeamka Salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo kaka ninge
Salama kpenz za ww
Mgeni wetu unaendeleajeSalama vipi wewe
ShikamooMgeni wetu unaendeleaje
101-03-821.M|T|CAsantee bina..Tuwe na Numatatu njema na wiki yenye mafanikio katika kila tunachofanya.
Ndio ndio mzee wa ugimbiShikamooni, sasa nikupata supu kdg,kuingia ktk kazi ,mambo ya Monday meeting yanaboa ,aargh
101-03-821.M|T|C
Hajambo mdogo wngu
Sijamboo mama ...nataka nyonyo na njaaaMarhabaaaaa hujambo toto
Mfyuuuuuuu![]()
![]()
Kwan me ndo nanyonyesha watu wazima kama wwSijamboo mama ...nataka nyonyo na njaaa
101-03-821.M|T|C