Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umehamia lindi binamu...wikend hii binamu, hata mimi nimekumiss karibu sana Lindi, Mtwara sipo saa hizi.
Hiyo kampani ya kunywa inategemea anakunywa kinywaji gani? Mtu anatafuna safari lager na karanga unategemea kampani itakuwepo?
Huyo anakunywa togwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]