Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nilivokumiss binamu,jipya lipo mtu chake haoni watu wa kumpa kampani ya kunywa hebu mtafutie huko


...wikend hii binamu, hata mimi nimekumiss karibu sana Lindi, Mtwara sipo saa hizi.

Hiyo kampani ya kunywa inategemea anakunywa kinywaji gani? Mtu anatafuna safari lager na karanga unategemea kampani itakuwepo?
 
Back
Top Bottom