EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Usiku wa kuamkia jana, tena ali like mpaka comment zangu.Brother umemuona lini.
Nieleze tafadhali.
Usiku wa kuamkia jana, tena ali like mpaka comment zangu.Brother umemuona lini.
Nieleze tafadhali.
Sawa shem!Sawa shemeji usirudie tena.
Mishe zimekuwa nyingi sana.Salama kabisa umeadimika sana
So unaisaka au?Mishe zimekuwa nyingi sana.
Si unajua bei ya sukari iko juu!!
Nilitaka nikusaidie tu brother. Maana vijana wengi wanaovamia mapenzi ukubwani kama wewe mara nyingi wakiachwa huishia kujinyonga.Mbona mie nshazoea tayari siku nyingi.
Niko pouwa shemdarling, vipi wewe?Wazima wote?
Mimi mzima kabisa.Niko pouwa shemdarling, vipi wewe?
Brother ukimuona tena nitafute tafadhali.Usiku wa kuamkia jana, tena ali like mpaka comment zangu.
Humo mi sina nilipobakiza, niliipitiaga kitambooo, labda ulete uzi mwingine...............................
Nipeni ustar wa JF
...................................
Ingieni mtembeze madole gumba ya kutosha() kwa Bitoz
.........
Pouwaa pouwa kaka.Break time. Baadae kidogo
Maneno ya mkosajiNafikiri hawa watoto humu ndani ni low class sana,kwahiyo wanaogopa kutoka na mtu ambaye huko high class kama mimi.
Naitafuta mkuu.So unaisaka au?
Hilo halinashaka kabisa. Naamini hata wewe pia unalitambua hili.Maneno ya mkosaji
Hii ni kweli kabisa.
Unakula nini.Karibuni tule wakuu
WifiiiiiiView attachment 346714
Karibuni sana