EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Huyu kijana hatapa mwingine kamwe.Youngblood mtoto alikukimbia kwa ile inshu, sasa umejipangaje kabla hujapata mwingine
Huyu kijana hatapa mwingine kamwe.Youngblood mtoto alikukimbia kwa ile inshu, sasa umejipangaje kabla hujapata mwingine
Vituko vya JFHumo mi sina nilipobakiza, niliipitiaga kitambooo, labda ulete uzi mwingine
Wametisha
Tufanye kilo kabisa. Vipi hujaneemeka na mgao wa Magu?Naitafuta mkuu.
Au kama una akiba kidogo nipatie hata robo kilo.!!
Watoto wamechoka kunywa uji wa chumvi.
HahahaaaaWametisha
Shemeji asante sana kwa kuliona hilo.
Ni shiiiidaWifiiiiii
Nambie shempenzi.Shemdarling
Shida haswaaNi shiiiida
Wasione toleo jipyaHahahaaaa
Hahahaaa hata humu wapo.Wasione toleo jipya
HahahahahahahaaaaShemeji asante sana kwa kuliona hilo.
Huku kwetu hakuna mgao.Tufanye kilo kabisa. Vipi hujaneemeka na mgao wa Magu?
mia mia mkuu...Nipo kaka, tunapita kudondosha like kimya kimya.
Utaroga sana kijana.Huyu kijana hatapa mwingine kamwe.
Pole sanaHuku kwetu hakuna mgao.