Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Asante mkuu.Pole sana
Wakujinyonga nije kuwa mie, sahau.Nilitaka nikusaidie tu brother. Maana vijana wengi wanaovamia mapenzi ukubwani kama wewe mara nyingi wakiachwa huishia kujinyonga.
Karibu kijiweni shemdarling.Mimi mzima kabisa.
Hahahahaaa una utani na watu wa ntwara?
Pouwaa, usijali kaka.Brother ukimuona tena nitafute tafadhali.
Ukweli mtupu. Watu si wema hata kidogo.
Asante madam.Karibuni tule wakuu
Poa kakaPouwaa, usijali kaka.
Jamani hawa watu, mbona kama wana pepo vilee!!
Pepo la ngonoJamani hawa watu, mbona kama wana pepo vilee!!
Samaki wachangaHahahahaaa una utani na watu wa ntwara?
Samaki nchanga! HahahaaSamaki wachanga
...................