Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Aachie tu.Ataachia tu
Nafikiri anamuogopa brother
Aachie tu.Ataachia tu
ShemdarlingHahahahaaa.... Mambo yamekuwa mengi tu.
Naomba unisamehe shem!Shemeji mbona umeanza kusema maneno mabaya kwa majirani.
Mzima kabisa mamyTuko poa dear sijui ww?
Ngoja tuoneAachie tu.
Nafikiri anamuogopa brother
Nashukuru kuskia hvyoMzima kabisa mamy
Ishu gani tena brother,mbona unanizushia habari za uongo wakati unajua kabisa kwamba Nahrene mimi nimemfukuza home.Youngblood mtoto alikukimbia kwa ile inshu, sasa umejipangaje kabla hujapata mwingine
Mbona mie nshazoea tayari siku nyingi.Nani amekula kona mkuu.
Yani hapo am EMMYGUY hana chake kabisa,namshauri anitafute nimpatie ushauri wa jinsi ya kuishi maisha ya kibachela kama mimi..
) kwa BitozNafikiri hawa watoto humu ndani ni low class sana,kwahiyo wanaogopa kutoka na mtu ambaye huko high class kama mimi.Hata mi naona, haiwezekani wote wamkatae
Brother umemuona lini.Hata mimi nilimwona anapita kimya kimya hapa.
Pamoja sana kaka.Asante sana kaka
Sawa shemeji usirudie tena.Naomba unisamehe shem!