WouzeeeeeeeeerrrrrrrNimemiss ile sauti yako aseee.... fanya kunipa moja basi!
Shikamoo jamani slim nimekuhamuNimemiss ile sauti yako aseee.... fanya kunipa moja basi!
Binamu yangu mm shikamoo
Asante binamu yangu kwa kushkuru nakupenda mmShunie niandike nini aunt 7yangu wewe uelewe kuwa umelitendea jambo kubwa Jukwaa hili kwa kuweka Je wajua? Labda nisiwasemee wengine, binafsi nimejifunza mengi. asante mno.
..nafikir umejibu swali langu 'je kuna jipya' kwa bandiko lako hili.
...marhaba aunt, nane nane imeisha salama? Hivi unajua leo ni nane tisa?
Sijui aisee..!hujui alipo
Shikamoo lakini
Sijui aisee..!hujui alipo
Shikamoo lakini
Tunakumiss pia mdogo wetu..
Kwan ni ktu gani kile mke mweeeMm nataka free size huyo kubwa sana lakini nyuma aweke kikamba
MfyuuuuuuShikamoo mkuu
Asante binamu yangu kwa kushkuru nakupenda mmjipya lipo binamu la je wajua kingine msalimie uncle wako
Tunakupenda pia mke mweeeeTukutane kwenye wakati mwingine kwenye je wajua nawapenda mm
Shikamooo shemela jamaniSijui aisee..!
Kapotea katika mazingira ya kutatanisha.
Hatujambo ww jeHamjambo humu
Shikamoo binamu...salamu zimefika na nimekipenda hicho ulichotupia leo (sio nguo) yaani wavuaji wanafunzi wanajivulia kiurahisi tu kama kimini cha polista. Je wajua imekaa poa sana.
Nakupenda pia aunt yangu na unalijua hilo.
Marahaba shem..Shikamooo shemela jamani