Makapuku Forum

5.Kwa mzee Trump ...

Marekani imepiga marufuku uagizaji wa nguo toka nchini Rwanda baada ya nchi ya Rwanda kupiga marufuku uingizaji wa mitumba toka Marekani.
Rais wa Marekani Donal Trump ametoa agizo la kupiga marufuku uondoaji wa ushuru kwa nguo zote zinazotoka Rwanda kwa miezi 6.
 
6. Wanariadha kushangaa mataa Abuja ??

Zaidi ya wanariadha 300 wakiwemo wa Tanzania na Kenya na kutoka mataifa mengine ya Afrika wamekwama katika uwanja wa ndege wa Murtala Muhammad 2 mjini Lagos Nigeria.

Wanariadha hao walitarajiwa kushiriki kwenye mbio za riadha za Afrika zitakazoanza leo



 
7.kwa mzee Mugabe kuna nini ??

Tume ya uchaguzi nchini Zimbabwe (ZEC) inaendelea kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu nchini humo. Katika matokeo yaliyotolewa mpka sasa kwa ngazi ya Ubunge toka majimbo 7, chama tawala ZANU-PF kimetwaa viti 73 huku MDC kikipata viti 28 na NPF kiti 1.

 
Wanaohitaji jinsi ya kuwekeza SKYINVEST karibuni inbox nitaelekeza wale waliyojiunga kuoitia link yangu tu..
Piga pesa ukiwa umekaa. Fanya kazi zako zingine huku pesa ikiongezeka kila saa.
Mfano: una akiba yako kwenye M-pesa,tigopesa imekaa tu,kwanini usiwekeze ikuzalishie pesa?
JIONGEZE SASA, kupitia hapa SkyInvest | Register
Kwa msaada zaidi njoo telegram @TomaaMireni au smatskills WhatsApp 0625547181
 
8.Wazee wa masifa aka wanamsimbazi maandalizi vipi vipi kule ??

Wekundu wa msimbazi wazee wa habari ya mjini homa ya town leo wametoshana nguvu na club waliyokuwa wanacheza nayo huku uturuki kwa bao moko kimoko na bahati nzuri wapinzani wao walifurahia kunyesha kwa mvua kubwa
 
9.taarifa mpenyezo

Kwa mujibu wa info mpinzani nchini zimbabwe amejitangaza kuwa yeye ndo mshindi wakati bwana jecha bado hajamalizaa
 
Niaje mkuu
 
Mtaasisi vip
 
Alikuwa wapi, Asante kwa music
bora kabisa
 
Jamani mbwa kapatikana
 
10.Vipi umejiuliza kama mimi

Nikiwa nawapitia wekundu na tambo zao kwenye masocial media huku walamba cone wana wa backrhesa wakisutua kule Uganda sijawasahau singida na maono yao ya mbeleni huku watani wa jadi Yanga wakipambana na hali yao nikaiwaza nafasi ya kwanza na uwakilishi wa nafasi moja wakati huku nyuma kuna timu 19 ....kama kuna mwenye namba za rais wa tiefuefuuu anijuzeee nimuulizeee...lasivyo makocha watapishana Airpot na bahati mbaya ubao wa matangazo airpot hausomii chochote mpaka sasa...
 
Wouzer wouzer
 
Kwahiyo hawatashiriki tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…