Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,906
Marahaba mzima, mbona umepotea sana dadakeShikamoo kaka moud jamani
Utakulwa usipokuwa makini ohooooo!Nahisi kuna mod ananitaka anashindwa kuniambia au kama ni mwanamke ananionea wivu
Punguza madongo dadake, sometimes chukulia poa tuMzima mm za ww acha tu nimepotea mwenyewe hata sijui kwa nn
Wanile tu kwani nnUtakulwa usipokuwa makini ohooooo!
Punguza madongo dadake, sometimes chukulia poa tu
Woooiiiiiiii wooooiiiiiWanile tu kwani nn
Baadhi ya vitu uwe unavichukulia poa ili maisha yaendeWatajua wenyewe waendelee tu kunipa ban zao zisizokuwa na sababu zozote nikicheka ban nikisema mapugi napata ban wanipe tu mm nipo
Tufunge hii topic muache kuniuliza basi kwaherini tutaonana siku nyingineBaadhi ya vitu uwe unavichukulia poa ili maisha yaende
Shikamoo mkuuWoooiiiiiiii wooooiiiii
Duuu pole dadaMadongo ya nn umeniuliza kuhusu kupotea nimekujibu jamani kwaherini
Mzima wewe? Mi mzimaShikamoo mkuu
Mzima wewe? Mi mzima
Asante sanaDuuu pole dada
MfyuuuuuuBwana weeh itikia shikamoo uko kujifanya kijana na wakati ni mzee










shikamoo inawafaaa nyie wazee na watu wa mikoani huko 





Mfyuuuuuu
Ukiamkiwa wewe hutaki kuitikia ukiulizwa sababu unasema eti wa mjini, wa mjini waaaapi we mama we!!
We maama viiiiiipi!Wa mjini wote babeeeeeeeeeeeeshikamoo inawafaaa nyie wazee na watu wa mikoani huko
![]()
