moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,133
- 770,212
Habari yakoAsante mkuu,pole nawe
Habari yakoAsante mkuu,pole nawe
Usiku mwema wadau na mlio Mbeya, hili baridi linahitaji kutolewa ufafanuzi 😀

Asante Tumosa kwa neno na hii inaonesha kuwa kuku akiacha mzaha anaweza kutotoa mapacha kwenye yai moja

Ni njema Moud za wwHabari yako
Heshima yko baba Mchungaji
Safi, niajeNi njema Moud za ww
Anko binamu ninazo salam kutoka ubavu wa mawazo yangu
Wewe mpaka nimemkumbuka mganga wetu changanya na chetiii chamgu cha psv mbona nakuwa duraiiiivaaaaa........hizo salamu baki nazo maana nami nilisema ufikishiwe ikaonekana hauko hewani nikajua ile ishu yako ya kuacha biashara zako zinazokuingizia mamilioni unazipiga chini ukawe dereva wa mkuu wa wilaya
PouwaSafi, niaje
moudgulf asante mdau kwa utalii wa picha. Tumosa neno limependeza
Nawasalimia wadau wote na niseme tu nawafurahia sana.
Kuna jipya?
BTW, kutokana na sababu zilzo ndani ya uwezo wangu sitaweza kuweka muziki na tafasiri unavyoweza, najiandaa kuita waandishi wa habari nitangaze jambo kubwa. Tega sikio na kama huna sikio tega jicho

Mm nko pouwaWazima humu