Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo tena binamuAsante moudgulf kwa picha nzuri za kuhamasisha utalii (na zaidi kushawishi kina sie kununua simu zenye kamera bora au kama vipi kununua kamera nzuri kama yangu, yeah, nina kamera Panasonc Lumix)
Asante SHAMMA kwa kuwepo hapa, Mgagaa na Upwa karibu, Slim5 ni jambo zuri kukuona hapa kila wakati
Tumosa mimi sijambo na ulisema kuna kitu utaniambia jioni, jioni imepita na usiku ndo huu hapa, bado kipo au kimepotea, asante kwa salamu.
Wadau wote najua mlikuwa na wikend nzuri.
Kuna jipya?
Aunt yko kaukwaa ukuu wa wilaya tuandae suti za kumsindikiza kuapishwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nmekumbuka zile suti zetu za yangeyange