Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
naam njemaZa jumatatu kiongozi
naam njemaZa jumatatu kiongozi
kuamkia watu ni dalili ya kuwanyima kitu flanShikamoo mkushi jamani
Ni nzuri mpendwa za wwHabari yako da Tumosa
Yupo atakujaMkuu Tumosa yu wapi Shunie, amepotea sana![]()
![]()
Salama mkuu karibu tenaDah nilimiss hii thread ya makapuku wenzangu, habari za asubuhi
Ni heshima mkuukuamkia watu ni dalili ya kuwanyima kitu flan
Bhas sawaNi heshima mkuu
Asante sana,nimerudiSalama mkuu karibu tena
Uchaguzi wa hao wenzetu kina mnangagwa matokeo yanategemewa kutangazwa Lini kwa anayefahamu
Mkuu Obe nasema Ahsante sana!Asante moudgulf kwa picha nzuri za kuhamasisha utalii (na zaidi kushawishi kina sie kununua simu zenye kamera bora au kama vipi kununua kamera nzuri kama yangu, yeah, nina kamera Panasonc Lumix)
Asante SHAMMA kwa kuwepo hapa, Mgagaa na Upwa karibu, Slim5 ni jambo zuri kukuona hapa kila wakati
Tumosa mimi sijambo na ulisema kuna kitu utaniambia jioni, jioni imepita na usiku ndo huu hapa, bado kipo au kimepotea, asante kwa salamu.
Wadau wote najua mlikuwa na wikend nzuri.
Kuna jipya?
Habarini humu
Salama kabisaa!wazimaa...humu salama, sijui wewe na huko utokako