Makapuku Forum

shikamoo tena binamu
Aunt yko kaukwaa ukuu wa wilaya tuandae suti za kumsindikiza kuapishwa

Nmekumbuka zile suti zetu za yangeyange
 

...me nilijua tu lazima uteuzi huu aunt yangu Shunie ale shavu la nguvu. Niliandaa kabisa suti na nimenunua na mkasini. Sasa mwambie asiwe anaigombeza bila sababu keshapata ubosi na alifanya vizuri kumpa talaka anko wangu
 
...me nilijua tu lazima uteuzi huu aunt yangu Shunie ale shavu la nguvu. Niliandaa kabisa suti na nimenunua na mkasini. Sasa mwambie asiwe anaigombeza bila sababu keshapata ubosi na alifanya vizuri kumpa talaka anko wangu
tutavaa suti zetu za kung'aaa si ndio binamu ili kila mtu atuone ndugu wa mheshimiwa
 
Shukrani kwako ngoja tushuhudie kama kijana atafanikiwa kumtoa mzee kwenye kiti alichokipata kwa mapinduzi ya kijeshi
 
Shukrani kwako ngoja tushuhudie kama kijana atafanikiwa kumtoa mzee kwenye kiti alichokipata kwa mapinduzi ya kijeshi


....tusubiri tuone, watu wa mjini wengi ni mashabiki wa MDC ya Chamisa (ambayo kuelekea kwenye uchaguzi walitaka kuingia mgogoro wa kukigawa chama, baadaye wakasawazisha mambo yakawa sawa) na 'Mamba' y Mnangagwa wa Zanu-PF nguvu iko vijijini. Nway, wamejitokeza wengi kupiga kura na kundi kubwa ni la vijana. Tusubiri tuone.
 
TUOMBE:Baba Katika jina la Yesu Kristo asante kwa asubuhi mpya ya leo Jumanne Tarehe 31 Julai 2018 ..wako wengi walitamani kuiona leo hawajaweza Tunakushukuru,Tunakutukuza,Tunakuheshimu,Tunakusifu Mfalme wa Amani.Baba tunaomba Toba na tunawasamehe wote waliotukosea.
Tunajikabidhi siku ya leo uibariki,bariki kazi za mikono yetu.
Wabariki watoto wetu na wajukuu wetu wasimamie Afya zao za miili na Roho waponye Baba watie nguvu wapiganie katika kila eneo masomo,wapate kazi,wapate wenza,wapate Amani na wakujue wakupende na kukutii daima.
Imarisha mahusiano yetu Baba,Imarisha familia pawe mahali pa Amani na makimbilio kila iitwapo leo.
Wasimamie wagane,wajane,yatima wape faraja wafiwa wote wakutumainie.
Tunaomba Baba leta Amani katika taifa letu kila mtu aseme Ndiyo kwako Baba na hofu yako Mungu wetu itawale.kwa kila mmoja wetu na haki itendeke.Tunaomba Baba imarisha Upendo na kuchukuliana kila mmoja amuone mwenzake ni wa thamani.Asante Baba kwakuwa yote yataenda kuwa sawa na mapenzi yako tunaomba yote katika jina la Yesu Kristo Amen.
JUMANNE NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO KINGA YETU ITUFUNIKE
 
Amen, God be with us
 
Ubarikiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…