Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Niko poa kabisa. Sijui wewe shemUko poa??
Niko poa kabisa. Sijui wewe shemUko poa??
Yes babe!![]()
![]()
![]()
siri yetu baby
Nisafi na njema za kwakoHabar ya jion wapendwa??
Ndo nini hii?Ni pouwa kabisa mambo yendaje
Kimtindo si wajua tena tunagufulika
Dah! Kwahiyo akikutana na mechi ya mchangan,matopen ama ya kimataifa ni kupita tu hivi![]()
![]()
![]()
ndio hvyo!

HahahaHuyo nae kajifungua mjukuu
Naona jioni hii hali ya hewa nzuri honeyYes babe!
Nakesha nikitafuta ajira wangu, life tight, ndio maana sionekaniUko wapi siku hizi jamvini huonekani kabisa??

Hahahahaaa ndioDah! Kwahiyo akikutana na mechi ya mchangan,matopen ama ya kimataifa ni kupita tu hivi![]()
Hongera yao japo wamechelewa.![]()
Bibi wa miaka 70+ ajifungua mtoto
....................
Nzuri kweli babe!Naona jioni hii hali ya hewa nzuri honey
Nimekumiss sana Mkuu, habari ya siku!Nakesha nikitafuta ajira wangu, life tight, ndio maana sionekani![]()
Evening walk inafaa sanaNzuri kweli babe!
Nzuri ndugu EMMYGUY, za kitambo? Majukumu yanasemaje?Nimekumiss sana Mkuu, habari ya siku!
Yes babe! TwendeEvening walk inafaa sana
Yote kheriHongera yao japo wamechelewa.
Mungu mkubwa.
Baby wake nae kazi anayoBado anasex...
![]()
![]()
![]()
..,..............
Twende babyYes babe! Twende