EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Amina.Mlioko huku mbarikiwe
Amina.Mlioko huku mbarikiwe
Oiiii niajeee man kitambo saanaNapenda basi kuadimika najikuta tu sipo na siwezi kuwepo
Ukichungulia sasa ndo unaumia kabsaa mana umeachwa palefu mnoooo
Piga simba hao![]()
Majimaji v Kimba Sc
....................
Ila wewe nakukubali ni m bishiInabidi kukomaa tu kiubishi ubishi maana hamna namna nyingine
Ni pouwa kabisa mambo yendajeOiiii niajeee man kitambo saana
Atakuwa busy na kazi.....@Th Nam sijamuona ila huyo wifi yako alikwepo asubuhi
Piga simba hao
pouwa pouwa mkuuNi pouwa kabisa mambo yendaje
Kimtindo si wajua tena tunagufulika
Nina hasiraaaaaa......View attachment 346674
Huu mchezo hautaki hasira
Team water babyNaombea timu ya Ray (water water) iifunge simba leo
Tuna shukuru siku za pita na tuna onana tenapouwa pouwa mkuu
Kazi zinakwenda lakini?
Miss you sana madamYaani leo nimevurugwa hadi nukta na like, kwani kuna tatizo?![]()
![]()
Nimekuja my wifi!Nimewamiss Th Name na wifi yangu lizziebettie
Nilikukumbuka tu, manake sio wewe wala kaka wote hamuonekaniNimekuja my wifi!