Makapuku Forum

Makapuku Forum

Rais wa Marekani Donald Trump na wa Urusi
Vladmir Putin muda mchache ujao watakutana kwa
mazungumzo, mjini Helsinki, ambao ni mkutano
wao wa kwanza kabisa kuwakutanisha pamoja.
 
Didier Deschamps asema ushindi wa Ufaransa ni
miujiza.
Ubingwa wa Ufaransa ni wa ''kutoka kwa mungu''
baada ya "uchungu" wa kupoteza fainali ya mataifa
bora Ulaya 2016, alisema kocha wake Didier
Deschamps.
 
Kipa wa Chelsea raia wa Ubelgiji Thibaut Courtois
anasema mkataba aliopewa na the Blues ni "tofuati
kuliko mwingine ninaoweza kupata" kwingine.
Mchezjai huyo amehusishwana uhamisho kwenda
Real Madrid. (Mirror)
 
TUOMBE:BWANA YESU ASANTE kutuamsha salama leo Jumatatu 16 Julai 2018.Wako wengi walitamani kuiona leo hawajaweza tunakurudishia Sifa ,Shukurani,Heshima na Utukufu kwako Mungu na Baba yetu uliye juu.
Tunaomba Toba Baba Uturehemu.
Tunaomba huruma yako isiyopungua siku hadi siku iwe nasi.
Asante kwa Upendo wako na kutuheshimisha kusiko mwisho.
Asante kwa sababu ya familia zetu watoto wetu wa kike na kiume wamekua baraka kwetu,endelea kuwakumbatia na kuwapa haja ya mioyo yao...Baba waepushe na hatari zote za Mwili na Roho wapiganie katika kila hatua za maisha masomo,kazi,mahusiano waponye majeraha yote na mioyo iliyovunjika waaambie kila siku kwako lipo tumaini na kwako Kuna USHINDI..Hakuna kuchelewa wala kuwahi kila jambo lipo kwa majira ambayo kila mmoja anayo majira na wakati wake.
Asante Baba kwa Baraka ya kazi za mikono yetu mashamba kazi ujasiriamali endelea kutubariki.
Ponya wagonjwa watie nguvu wajane wagane,yatima wafariji wafiwa wape tumaini
Tunaomba anza nasi na maliza nasi wiki nzima inayoanza leo.
Roho Mtakatifu Tufundishe kuishi maisha Matakatifu.
Tunaomba na kuamini katika jina la Yesu Kristo lipitalo majina yote Amen

WIKI NA JUMATATU NJEMA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
Amen
 
Courtois anasema mchezaji mwenzake wa Chelsea
Eden Hazard: "Ninako kwenda, Hazard lazima
anifuate." Hazard, wa miaka 27, pia amehusishwa
na uhamisho kwenda Real Madrid. (Evening
Standard)
 
Mlinzi wa England Luke Shaw, wa miaka 23, yupo
tayari kuondoka Manchester United kama ajenti wa
bure iwapo hatothibitishwa kuwa chaguo la kwanza
la Jose Mourinhokiungo cha beki kushoto msimu
huu. (Manchester Evening News)
 
Everton wana hamu ya kumsajili mchezaji wa
kiungo cha kati wa Espanyol David Lopez. Mchezaji
huyo wa miaka 28 pia analengwa na Valencia na
Real Betis. (Mundo Deportivo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom