Mtumie hela akanunue maziwa...anahitaji hela ya maziwa au anaumwa maziwa?
Vyovyote vile kama ni hela ya maziwa mwambie maziwa yanamaliza nguvu ya dawa. Na kama anaumwa maziwa basi lambalamba fc wanahusika, yamevimba kwani?
Pole Shunie
Huyo ndo binamu yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh... Kwema Mkuu?
Shikamoo banamuJumapili njema wadau.
Niko poa bro vp wwHabari yako dadake
Morning goal kickMorning Fellaz
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] AmeeeeniTuseme Amen!
Duh Binamu Huyu KibokoHuyo ndo binamu yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh Binamu Huyu Kiboko
HahahaaaHilo jina limetumbuliwa, na sasa ameteuliwa @iyegu,goal kick atapangiwa kazi nyingine [emoji38]