Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
WooooooyoooooSalam haitii mimba, nimepita kuwasalimu ndugu zangu..
Nimewamiss, nawapenda sana
![]()
![]()
![]()
Ahsante shemelaWooooooyooooo
Karibu shemela we miss you too
Habari ya kuadimika shemelaAhsante shemela
Mungu anajaalia shemelaSalama wa salmin
Vip ww shemela.
HujamboSalam haitii mimba, nimepita kuwasalimu ndugu zangu..
Nimewamiss, nawapenda sana
![]()
![]()
![]()
Sema ww mkuuMakapuku tunazimua wapi sasa
Nafurahi na ninashukuru kwa hilo shemela.Mungu anajaalia shemela
Sijambo vipi hali madame!?Hujambo
Mie ndio natafuta sehemu nichome nyama na ugali mkubwaaaaaSema ww mkuu
Nawe PiaHayaa goli kiki mchana mwema
Salama Mkuu... Karibu Tena Na Tena Upite Kutusalimia, Sweetiepie Yu Wapi Lakini?Salam haitii mimba, nimepita kuwasalimu ndugu zangu..
Nimewamiss, nawapenda sana
![]()
![]()
![]()
Sweetiepie yupo mkuu!Salama Mkuu... Karibu Tena Na Tena Upite Kutusalimia, Sweetiepie Yu Wapi Lakini?
Aisee Aje Atusalimie JamaniSweetiepie yupo mkuu!
Salama za wwSijambo vipi hali madame!?
Hongera naona ushafanikiwa mpango wakoAisee Aje Atusalimie Jamani