Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
Kula Bata Na Manyoya Yake!Katafute mkuu maisha ndio hayahaya
Kula Bata Na Manyoya Yake!Katafute mkuu maisha ndio hayahaya
Mnatafutaga wap kwani nimuelekeze na binamu aendeTukatafute Wachumba Wa Kuwa Nao Jumapili 😀
Utawapata mkuuUkiacha Tu Kukaa Naweza Kupata Wa Kukaa Naye?![]()
Karibu Na Sekondari 😀😀😀😀Mnatafutaga wap kwani nimuelekeze na binamu aende
Mama mchungaji sijamuona kitambo jamaniWouuuzeer![]()
Mungu anasaidia tunaendelea naoNjema habari ya ujenzi wa viwanda
Nilijua tuuKakudanganya![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi Nimemwambia Wifi Yako Leo Lipo Tena Linaisha Saa 10 Alfajiri.Hii Ni Kutokana Na Kukamilisha Ratiba Iliyosimama Wakati Timu Zilipopisha Kombe La Kagame 😀

Ngoja Nizunguke Zunguke Huku Na Kule!Utawapata mkuu
Wenzio tumepata waume humu,wengine wamepata wake,we vuta subira
Weee mgeni weweTukatafute Wachumba Wa Kuwa Nao Jumapili 😀

Uko mzima lakiniNilijua tuu
Kazana mkuuNgoja Nizunguke Zunguke Huku Na Kule!
Huku kwema baridi ndo tunakoma nayoAsante habari ya huko kwetu
Mgeni Anataka Kuzoea Kuliko WenyejiWeee mgeni wewe![]()

Poleni sana kuanzia mwezi ujao joto litaanzaHuku kwema baridi ndo tunakoma nayo
Me sijambo kabisa dadaanguUko mzima lakini