moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,208
- 770,373
AminShikamoo makapuku wote
Mungu awape wepesi na awatimizie mahitaji yenu ya kila siku
AminShikamoo makapuku wote
Mungu awape wepesi na awatimizie mahitaji yenu ya kila siku
Safi moud za uko na weweNashukuru, za huko
Ni njema tuuuHabari zenu marafiki
Kho kho....
Jaman kakaaShikamoo makapuku wote
Mungu awape wepesi na awatimizie mahitaji yenu ya kila siku
Namshukuru Mwenyezi Mungu Jala Jalal Alhamdulillah. Naona unasukuma jahazi hapa.Safi moud za uko na wewe
Kama kawaida moudNamshukuru Mwenyezi Mungu Jala Jalal Alhamdulillah. Naona unasukuma jahazi hapa.
Naziona jitihada zako hapa![]()
![]()
![]()
Wewe ni mtu muhimu sana hapa. Hongera kwa kuutendea haki Uzi huuKama kawaida moud
Wewe ni mtu muhimu sana hapa. Hongera kwa kuutendea haki Uzi huu
NaaamJaman kakaa
Za kuadimikaNaaam
Kuna wakati maisha hutufanya tusahu umhimu wa wengine
Tujitahidi kukumbukana
Maisha sio ni kama kivuli huwezi kukikimbia
Siasa ni kama ajira anae panga hatima yako ya kesho ni mwanasiasa
Anae jua ukweli daima ni nafsi yako Na mungu ndio shaidi wa kweli
Usiogope kuulizwa ogopa kukubali wakati unaumia
Usipongeze kwa kukuwa kafanya alie upande wako pongeza kwa kuwa alicho fanya kinasitahili kufanyika hivyo
Timiza wajibu wako na ndio udai haki yako
Ukiwa unaona madhaifu ya mwenzako usikosoe jitahidi kumkumbusha
Jiepushe kuwa adui
Jifunze kusamehe
Elewa kutubu kwako ndio faida yako
Jioni njema
Nipo dadake majukumu tu yamebanaZa kuadimika
AsanteAsante sana kwa somo jioni njema na kwako