ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,924
- 13,823
Jaman poleeNipo dadake majukumu tu yamebana
Jaman poleeNipo dadake majukumu tu yamebana
Asante habari ya huko kwetuJaman polee
Kakudanganyakumbe dadangu unacheo kikubwa kuna mtu kasema hakuna usajili mfyuu zake

Karibu sanaShukrani Rafiki,tuko pamoja
Tukatafute Wachumba Wa Kuwa Nao Jumapili 😀Wouuzeeer.![]()
Watoe sadaka tuuTumosa ukuje huku utaje madollar
Poa moud za wwHabari zenu marafiki
Karibu kaka akeShikamoo makapuku wote
Mungu awape wepesi na awatimizie mahitaji yenu ya kila siku
Ukiacha Tu Kukaa Naweza Kupata Wa Kukaa Naye? :lol:Ada ni kuchukua kiti na kukaa tu mkuu
Tukatafute Wachumba Wa Kuwa Nao Jumapili 😀
Njema habari ya ujenzi wa viwandaKaribu kaka ake
Hbr ya siku
Huyo ndio kazi yake atakutafutiaUkiacha Tu Kukaa Naweza Kupata Wa Kukaa Naye?![]()
Kuna wakati maisha hutufanya tusahu umhimu wa wengine
Tujitahidi kukumbukana
Maisha sio ni kama kivuli huwezi kukikimbia
Siasa ni kama ajira anae panga hatima yako ya kesho ni mwanasiasa
Anae jua ukweli daima ni nafsi yako Na mungu ndio shaidi wa kweli
Usiogope kuulizwa ogopa kukubali wakati unaumia
Usipongeze kwa kukuwa kafanya alie upande wako pongeza kwa kuwa alicho fanya kinasitahili kufanyika hivyo
Timiza wajibu wako na ndio udai haki yako
Ukiwa unaona madhaifu ya mwenzako usikosoe jitahidi kumkumbusha
Jiepushe kuwa adui
Jifunze kusamehe
Elewa kutubu kwako ndio faida yako
Jioni njema

Mimi Nimemwambia Wifi Yako Leo Lipo Tena Linaisha Saa 10 Alfajiri.Hii Ni Kutokana Na Kukamilisha Ratiba Iliyosimama Wakati Timu Zilipopisha Kombe La Kagame 😀Ndiooo
Leo wodikapu hawachezi![]()
![]()
![]()
Nitashukuru Sana Kama Ombi Langu Litafanikiwa :dohHuyo ndio kazi yake atakutafutia