. Namaanisha kwenye huu uzii ndo sijaingia. Buy hao watu nilikuwa naonana nao kwenye nyuzi zingine....sentensi inajichanganya, kama hujaingia kitambo humu utawaonaje. Au sijakuelewa, maana wikend kwangu huwa haidanganyi
...nimeipokea anko, anko wangu hajambo lakini maana simpati kwenye simu bora nikuulize wewe live
Binamu mm kwenye majini siwajui ukitaka twende kanisani ikaombewe
. Namaanisha kwenye huu uzii ndo sijaingia. Buy hao watu nilikuwa naonana nao kwenye nyuzi zingine.
...okay, nilisahau kuwa wewe mambo ya kienyeji hupendi. Sasa huko kanisani muombeaji akitaka na yeye simu kama yangu tunafanyaje? Ujue anaweza kuomba sadaka burebure tu.
Ila kama huwajui wenye majini maana yake hata limbwata wewe hutumii, utapata tabu sana, just saying
Karibu tenaThanks dadaake
...mbona unasaga meno binamu kama shangazi wa kambo?mmmmh
...mbona unasaga meno binamu kama shangazi wa kambo?
...okay, nilisahau kuwa wewe mambo ya kienyeji hupendi. Sasa huko kanisani muombeaji akitaka na yeye simu kama yangu tunafanyaje? Ujue anaweza kuomba sadaka burebure tu.
Ila kama huwajui wenye majini maana yake hata limbwata wewe hutumii, utapata tabu sana, just saying
AsanteeKaribu tena
Bitoz yupo anakujaga...sasa nimekuelewa mdau, walichukua likizo ya bila malipo, watarudi hapa.
Ni jambo zuri umekuja hapa maana inapendeza kukuona hapa. pamoja sana
Hiyo simu yako aina gani binamu mpaka mtumishi aitamani
anko nnini lakini...
...ni hizi mpya nzuri nzuri, Tecno Phantom 6, ina muziki mkali ukiweka loudspika hata spika za msikitini hazifui dafu. Ina rangi ya silver. laini mbili. Ukienda kuoga unaweza kuiweka karai na isizime
...nilikuwa nakusalimia tu, sina jingine. au nimekosea kukusalimia na kuulizia habari za baada ya salamu
Tecno Phantom 6 ni toleo jipya eenh binamu
...yeah, ni mpya kabisa, sio used. Ila kuna watu walisemaga waliionaga zamani, mimi sikuiona kwa hiyo ni mpya. Nimeinunua Kenya
Njema tuMtani wangu Bitoz za masiku?
Za kupotea?
Hujambo?
Nilikuwa nakusalimia tu kamanda !!!
Ndio mana nimeshangaa toleo la zamani kumbe mpya binamu kuimiliki kwako