Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahaha umefurahi nn
Nimefurahi tu shemela
Nimefurahi tu shemela
Tulia hivyo hivyoNaunganisha Dots hapa mjuu..
Fish Fish na kitimoto zilizoko karibu...
Nitakuwepo kwa ajili yako shemelaSawa shemela wangu uonekane sasa mana ukipotea jukwaani unapotea
Nitakuwepo kwa ajili yako shemela
Ananikimbia.
Ngoja nitulie nile beer tuu sasa..Hahaha sio dj












Ngoja nitulie nile beer tuu sasa..
Naweza jisahau hapa nikapiga selfie hapa..
Jf itapasuka vipande vipande..![]()
Ila kuna wadada wanapenda sana safari nina rafiki angu mmoja huwa anaikumbuka kabisa kuwa ana hamu na safari na hela anazo
Mie pia nimewapendaIla kuna wadada wanapenda sana safari nina rafiki angu mmoja huwa anaikumbuka kabisa kuwa ana hamu na safari na hela anazo
Mie pia nimewapenda
.mtongozo wa kidizainiRafiki mie MTU poa sana,nimependa tu uwe karibu yangu
Duh siko huko.mtongozo wa kidizaini